| SEKUNDE/Sekunde               Second/seconds
DAKIKA/Dakika                 Minute/Minutes
SAA/Saa                       Hour/Hours
SIKU/Siku                     Day/Days
MCHANA                        Daytime 
ASUBUHI                       Morning
USIKU                         Night
JIONI                         Evening
MAGHARIBI                     Dusk/Sunset
MAPAMBAZUKO/ALFAJIRI          Dawn/Sunrise
WIKI/JUMA                     Week/Weeks
MWEZI/Miezi                   Month/Months
MWAKA/Miaka                   Year/Years
KIZAZI/Vizazi                 Generation/Generations
KARNE/Karne                   Century/Centuries
ENZI                          Era
MSIMU/Misimu                  Season/Seasons
KIANGAZI                      Dry-season
KIPUPWE                       Winter
MASIKA                        Rainy Season
UPEPO                         Wind
KIMBUNGA/Vimbunga             Cyclone/Cyclones
MVUA                          Rain
MBINGU/MAWINGU                Sky/Skies/Cloud/Clouds
LEO                           Today
JANA                          Yesterday
JUZI                          Day before yesterday
KESHO                         Tomorrow
KESHO KUTWA                   Day after tomorrow
MTONDO                        The third day
MTONDO GOO (Kushinda mtondo)  The fourth day 
 JUMAMOSI                      Saturday
JUMAPILI                      Sunday
JUMATATU                      Monday
JUMANNE                       Tuesday
JUMATANO                      Wednesday
ALHAMISI                      Thursday
IJUMAA                        Friday 
 MASHARIKI                     East
MAGAHARIBI                    West
KASKAZINI                     North
KUSINI                        South
KUSINI - MASHARIKI            South East
KUSINI- MAGAHARIBI            South West
KASKAZINI - MASHARIKI         North East
KASKAZINI - MAGAHARIBI        North West 
 JUA/Jua                       Sun/Suns (also: Jua =  know)
MWEZI/Miezi                   Moon/Moons
SAYARI/Sayari                 Planet/Planets
NYOTA/nyota                   Star/Stars
DUNIA                         Earth
ULIMWENGU                     Universe   |