Names Index
Family Trees
Interactivity
History
Family Photos & Websites
Zanzibar
Guestbook
Photo  Collections
  Personalities

REMEMBERING SWAHILI WORDS - PART 2

Part 1 | Part 2 | Part 3 |Part 4 | Part 5 | Part 6 |

Click here to view Swahili Videos
  (Click here to read some of the Slang Swahili words used)

 

                                        NUMBERS AND ARITHMETIC

NUMBERS

SIFURI/ZERO                      0
MOJA                          1
MBILI                         2
TATU                          3
NNE                          4
TANO                          5
SITA                          6
SABA                          7
NANE                          8
TISA                          9
KUMI                          10
KUMI NA MOJA                      11
KUMI NA MBILI                     12
KUMI NA TATU                      13
KUMI NA NNE                      14
KUMI NA TANO                      15
KUMI NA SITA                      16
KUMI NA SABA                      17
KUMI NA NANE                      18
KUMI NA TISA                      19
ISHIRINI                        20
ISHIRINI NA MOJA                    21
ISHIRINI NA MBILI                   22
ISHIRINI NA NANE                    28
ISHIRINI NA TISA                    29
THELATHINI                       30
THELATHINI NA MOJA                   31
THELATHINI NA MBILI                  32
THELETHINI NA TATU                   33
THELATINI NA NANE                   38
THELATHINI NA TISA                   39
AROBAINI                        40
AROBAINI NA MOJA                    41
AROBAINI NA MBILI                   42
AROBAINI NA NANE                    48 
AROBAINI NA TISA                    49
HAMSINI                        50
HAMSINI NA MOJA                    51
HAMSINI NA MBILI                    52
HAMSINI NA TATU                    53
HAMSINI NA NANE                    58
HAMSINI NA TISA                    59
SITINI                         60
SITINI NA MOJA                     61
SITINI NA MBILI                    62
SITINI NA NANE                     68 
SITINI NA TISA                     69
SABINI                         70
SABINI NA MOJA                     71
SABINI NA MBILI                    72
SABINI NA NANE                     78 
SABINI NA TISA                     79
THEMANINI                       80
THEMANINI NA MOJA                   81
THEMANINI NA MBILI                   82
THEMANINI NA TATU                   83
THEMANINI NA NANE                   88
THEMANINI NA TISA                   89
TISINI                         90
TISINI NA MOJA                     91
TISINI NA MBILI                    92
TISINI NA NANE                     98 
TISINI NA TISA                     99
MIA MOJA                        100
MIA MOJA NA MOJA                    101
MIA MOJA NA MBILI                   102
MIA MOJA NA NANE                    108 
MIA MOJA NA TISA                    109
MIA MOJA NA KUMI                    110
MIA MOJA NA KUMI NA MOJA                111
MIA MOJA NA KUMI NA MBILI               112
MIA MOJA NA KUMI NA NANE                113
MIA MOJA NA KUMI NA TISA                119
MIA MOJA NA ISHIRINI                  120
MIA MOJA NA ISHIRINI NA MOJA              121
MIA MOJA NA ISHIRINI NA MBILI             122
MIA MOJA NA ISHIRINI NA NANE              128
MIA MOJA NA ISHIRINI NA TISA              129
MIA MOJA NA THELATHINI                 130
MIA MOJA NA THELETHINI NA MOJA             131
MIA MOJA NA THELETHINI NA TISA             139
MIA MOJA NA AROBAINI                  140
MIA MOJA NA AROBAINI NA MOJA              141
MIA MOJA NA AROBAINI NA MBILI             142
MIA MOJA NA AROBAINI NA NANE              148
MIA MOJA NA AROBAINI NA TISA              149
MIA MOJA NA HAMSINI                  150
MIA MOJA NA SITINI                   160
MIA MOJA NA SABINI                   170
MIA MOJA NA THEMANINI                 180
MIA MOJA NA TISINI                   190
MIA MBILI                       200
MIA MBILI NA MOJA                   201
MIA MBILI NA KUMI                   210
MIA MBILI NA KUMI NA MOJA               211
MIA MABILI NA ISHIRINI                 220
MIA MBILI NA TISINI NA TISA              299
MIA TATU                        300
MIA NNE                        400
MIA TANO                        500
MIA SITA                        600
MIA SABA                        700
MIA NANE                        800
MIA TISA                        900
ELFU MOJA                       1,000
ELFU MOJA NA MOJA                   1,001
ELFU MOJA MIA MOJA NA MOJA               1,101
ELFU MOJA MIA TISA NA TISINI NA TISA          1,999
ELFU MBILI                       2,000
ELFU TISA                       9,000
ELFU KUMI                       10,000
ELFU KUMI, NA MOJA                   10,001
ELFU KUMI-NA-MOJA (KUMI NA MOJA ELFU)         11,000
ELFU KUMI-NA-MBILI                   12,000
ELFU ISHIRINI                     20,000
ELFU TISINI                      90,000
ELFU TISINI NA TISA, MIA TISA NA TISINI NA TISA    99,999
LAKI MOJA                       100,000
LAKI MBILI                       200,000
LAKI TISA                       900,000
MILIONI MOJA                      1,000,000
MILIONI MBILI                     2,000,000
BILIONI MOJA                      1,000,000,000,000
LUKUKI                         UNCOUNTABLE


SEHEMU - FRACTIONS AND DECIMALS

NUSU           - Half (1/2)
ROBO           - Quarter (1/4)
THELUTHI         - One Third (1/3)
SUDUSU          - One Sixth (1/6)
THUMUNI         - One eigth (1/8)


DECIMALI - DECIMALS

2.01 = Mbili nukta sifuri moja
20.59 = Ishirini nukta tano tisa (Ishirini nukta hamsini na tisa)


ASILIMIA - PERCENTAGES

Asilimia moja      -     1 %
Asilimia kumi      -     10 %
Asilimia ishirini    -     20 %
Asilimia tisini na tisa -     99 %
Asilimia mia moja         100 %


ORDINAL NUMBERS

Ya kwanza -          First
Ya Pili -           Second
Ya tatu            Third
Ya nne            Fourth
Ya tano            Fifth
Ya sita            Sixth
Ya saba            Seventh
Ya nane            Eighth
Ya tisa            Ninth
Ya kumi            Tenth
Ya kumi na moja        Eleventh
Ya kumi na mbili       Twelveth
Ya kumi na tisa        Nineteenth
Ya ishirini          Twentieth
Ya arobaini          Fortieth
Ya tisini           Ninetieth
Ya mia            Hundredth

The use of preposition "of" ( "ya"; "cha"; "wa"; "la")


Mifano - Examples:

Sherehe hii ni "ya" kwanza (This festival is the first)
Fredi ni "wa" ishirini (Fred is twentieth)
Maria ni "wa" kwanza (Mary is first)
Kituko "cha" kwanza (First occurrence/event)
Darasa "la" kwanza


KUJUMLISHA (ADDITION) NA KUTOA (SUBTRACTION)

ALAMA = SIGNS

+  Kujumlisha (to combine) / kuongeza (to add)
-  Kutoa (to subtract) / kuondoa(to take away)
x  Kuzidisha (to multiply)
/  Kugawa (to divide)

KUJUMLISHA = KUONGEZA

28 + 10 = 38  (Ishirini na nane kujumlisha(kuongeza) kumi ni sawa na
        thelethini na nane). Note: "ni" = is

        (Twenty added to (i.e. plus) ten is equal to thirty
        eight)

28 - 10 = 18  (Ishirini na nane kutoa(kuondoa) kumi ni sawa na kumi
        na nane).

        (Twenty subtract (i.e. minus) ten is equal to
        eighteen)

KUZIDISHA = MULTIPLICATION

28 x 10 = 280 (Ishirini na nane kuzidisha na kumi ni sawa na mia
        mbili na themanini).

        (Twenty-eight multiplied by (i.e. times) ten is equal
        to two hundred and eighty).

KUGAWA = DIVISION

28 / 10 = 2.8 (Ishirini na nane kugawa kwa kumi ni sawa na mbili
        nukta nane).

        (Twenty divided by ten is equal to two point eight)

 

 

Part 1 | Part 2 | Part 3 |Part 4 | Part 5 | Part 6 |


 

Click here to view Swahili Videos
  (Click here to read some of the Slang Swahili words used)


 to Video Compilation Main Page

 to Zanzibar Photos Page


Last updated June 2020
Copyright © Mahmood Fazal 2020 - All Rights Reserved
Created By Husain Fazal