SEKUNDE/Sekunde Second/seconds DAKIKA/Dakika Minute/Minutes SAA/Saa Hour/Hours SIKU/Siku Day/Days MCHANA Daytime ASUBUHI Morning USIKU Night JIONI Evening MAGHARIBI Dusk/Sunset MAPAMBAZUKO/ALFAJIRI Dawn/Sunrise WIKI/JUMA Week/Weeks MWEZI/Miezi Month/Months MWAKA/Miaka Year/Years KIZAZI/Vizazi Generation/Generations KARNE/Karne Century/Centuries ENZI Era MSIMU/Misimu Season/Seasons KIANGAZI Dry-season KIPUPWE Winter MASIKA Rainy Season UPEPO Wind KIMBUNGA/Vimbunga Cyclone/Cyclones MVUA Rain MBINGU/MAWINGU Sky/Skies/Cloud/Clouds LEO Today JANA Yesterday JUZI Day before yesterday KESHO Tomorrow KESHO KUTWA Day after tomorrow MTONDO The third day MTONDO GOO (Kushinda mtondo) The fourth day
JUMAMOSI Saturday JUMAPILI Sunday JUMATATU Monday JUMANNE Tuesday JUMATANO Wednesday ALHAMISI Thursday IJUMAA Friday
MASHARIKI East MAGAHARIBI West KASKAZINI North KUSINI South KUSINI - MASHARIKI South East KUSINI- MAGAHARIBI South West KASKAZINI - MASHARIKI North East KASKAZINI - MAGAHARIBI North West
JUA/Jua Sun/Suns (also: Jua = know) MWEZI/Miezi Moon/Moons SAYARI/Sayari Planet/Planets NYOTA/nyota Star/Stars DUNIA Earth ULIMWENGU Universe
Copyright © Fazals 1999 - All Rights Reserved