Click here to listen to "Malaika" song

 
 
Malaika, nakupenda Malaika.             Angel, I love you Angel.
Malaika, nakupenda Malaika.
Nami nifanyeje, kijana mwenzio,         What should I do, your lover?
Nashindwa na mali sina, we,             I don't have any money
                                        (LITERALLY:  I'm defeated by
                                         wealth, I don't have any.)
Ningekuoa Malaika.                      I would marry you, Angel.
Nashindwa na mali sina, we,
Ningekuoa Malaika.

Pesa zasumbua roho yangu                Money is troubling my soul
Pesa zasumbua roho yangu
Nami nifanyeje, kijana mwenzio,
Ningekuoa Malaika.
Nashindwa na mali sina, we,
Ningekuoa Malaika.

Kidege, hukuwaza kidege.                Little bird, I always
                                        dream of you, little bird,
Kidege, hukuwaza kidege.
Nami nifanyeje, kijana mwenzio,
Nashindwa na mali sina, we,
Ningekuoa kidege.
Nashindwa na mali sina, we,
Ningekuoa kidege.

 

  to Zanzibar Photos Page

 

Quick Names Index

 

 

Copyright © Fazals 1999 - All Rights Reserved